Guasa Ambonii
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 8,545
- 10,283
Jamani lipo hata lisilochacha pia hana?Atakuwa hana bando huyu
Nakupenda na nakutakia siku yenu njema dada /shemeji utaniswamehe nilipatwa na mghafara sikukutakia mapema.Machozi yamenitoka [emoji24]
AhsantaWanawake siku zote ni zao, hizi ni biashara na kujazana ujinga tu.
Usijali kaka shemeji mpendwa,shukraan jazeelan.Nakupenda na nakutakia siku yenu njema dada /shemeji utaniswamehe nilipatwa na mghafara sikukutakia mapema.
Atakuwa hanaJamani lipo hata lisilochacha pia hana?
Basi jamaa watakuwa si wa kweli kwani walisema halichachi au pengine hajawahi kulinunuaAtakuwa hana
Anaweza akawa anatumia mtandao mwingne tofauti na halichachiBasi jamaa watakuwa si wa kweli kwani walisema halichachi au pengine hajawahi kulinunua
Duh!Anaweza akawa anatumia mtandao mwingne tofauti na halichachi
Inaweza ikawa hivyo mkuuDuh!
Asante sana ubarikiweHeri ya kuzaliwa WANAWAKE wote wa jf. ....happy womens day.
Hakuna kama mama jamani!nimeguswa na huyo kijana aliyewekewa chakula kwenye ndoo..tuwaenzi mama zetu..Mungu awape maisha marefu na walioitwa na Mungu wapumzike kwa amani .
Si umeona mwenyewe???Asante japo hukunitaja