Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
Mjukuu...Umemsahau BIBI TITTI MOHAMMED
Sawa Babu nimekuelewaMjukuu...
Hapana Bi. Titi sikumsahau.
Angalia hiyo picha ya Baba wa Taifa ya mwaka wa 1955 amepiga na wanawake
wanne waliomsindikiza Uwanja wa Ndege safari ya UNO...
Bi. Titi yupo hapo ila kwa makusudi sikweka jina kwa kuwa nimeuliza swali, ''Nani
anawajua?''
Hadija Jabir
Sophia Kawawa
Mtumwa Fikirini
Johari Akidah
Mwajuma Koja
Haujawataja mbona na hawa?
Mtaje we Huyo mkristo aliyekawepoYani wewe na waislamu tu .hivi mkristo hakuwepo hata mmoja
Mjukuu hawa sikuwataja kwa kuwa siwajui...Hadija Jabir
Sophia Kawawa
Mtumwa Fikirini
Johari Akidah
Mwajuma Koja
Haujawataja mbona na hawa?
Kivava Bi. Fatna na Bi Hawa ni ndugu?Kila Nyerere alipokuja Arusha alifadhiliwa matumizi yake yote kuanza mavazi chakula uandaaji na uhamasishaji wa mikutano mpaka mafuta ya Land Rover yake na marehemu
FATNA BINTI MURSALi
Vivo hivyo alipokwenda Singida hukumu lilimuangukie dada yake marehemu
HAWA BINTI FERUZI
Nakubaliana na mohamed Saidi kwa historia ya kweli kuandikwa
Mzee wewe ni mpotoshaji namba moja kwanini unaandika ujinga huoMjukuu...
Hapana Bi. Titi sikumsahau.
Angalia hiyo picha ya Baba wa Taifa ya mwaka wa 1955 amepiga na wanawake
wanne waliomsindikiza Uwanja wa Ndege safari ya UNO...
Bi. Titi yupo hapo ila kwa makusudi sikweka jina kwa kuwa nimeuliza swali, ''Nani
anawajua?''
Gussie,Mzee wewe ni mpotoshaji namba moja kwanini unaandika ujinga huo
Hao masister wa kikatolic wewe unaandika ujinga kwanini unapotosha mambo Mzee
Wewe hufai kabisa ndani ya jamii ni moja kati ya watu mliopasa kuweko huko Damascus, Allepo au Ghouta mpigwe mabomu ya nguvu huna maana
Masister wakatoliki hao unaleta ujinga na mawazo takataka humu
Kipala ikiwa unakusudia picha ya Baba wa Taifa uwanja wa ndege hao ni kama nilivyoeleza.Pole na matusi naomba utulie. Hata hivyo kuna swali ambalo hata mimi nilijiuliza: je kwenye picha ya kwanza hapo si wengine ni masista?
Kirumbuyo mchango wa Mwalimu Nyerere katika kupigania uhuru wa Tanganyika hauna mfano wake. Lakini ili uweze kujua ilikuwaje akawa kiongozi kwanza TAA HQ New Street 1953 kisha katika TANU 1954 ni lazima ujue historia ya Mwalimu Nyerere. Ukiijua historia hii ndipo utakapoelewa mengi ambayo hayakuwa wazi kwa wengi kwa miaka mingi.Hii nchi uhuru umeletwa na mkristo julius nyerere
Kipala ikiwa unakusudia picha ya Baba wa Taifa uwanja wa ndege hao ni kama nilivyoeleza.
Asante kwa ufafanuzi!Kipala nimeeleza wapi nimepata picha hii na nyingine labda hukusoma uzi toka mwanzo. Ally Sykes alinikutanisha na Jim Bailey aliyekuwa na mswada wa kitabu cha picha kuhusu Baba wa Taifa. Bailey akaniomba nifanye uhariri wa kitabu chake. Huyu Bailey alikuwa na gazeti lake Drum likichapwa Johannesburg katika miaka ya 1950s. Katika kazi hii ndipo nilipopata picha hii ya 1955. Kulia ni Bi. Chiku Kisusa (Mama Sakina), Bi. Titi Mohamed, huyo wa tatu jina sina wa nne Mwalimu Julius Nyerere wa tano jina sina na wa sita ni Bi. Tatu bint Mzee. Bailey akiniomba pia baada ya kukihariri kitabu nimtafutie publisher. Mimi nikamjulisha Bailey kwa Walter Bgoya wa Mkuki na Nyota ambae ni rafiki yangu wa miaka mingi. Yeye ni publisher wa sifa na kitabu kikachapwa - The Story of Julius Nyerere of Tanzania. Picha hii ni moja picha kutoka Bailey African Collection. Ninazo picha nyingine mkipenda naweza kukuwekeeni hapa pamoja na historia zake.