Siku ya wanawake duniani - Tanzania: Nani anawajua wapigania uhuru hawa wanawake?

Huyu Mzee ninamuheshimu sana ana mambo mengi yenye faida kwa wanaotaka kujua
 
Mungu akuweke Shekhe wangu,Mwalim wangu wa historia ya kweli ilotukuka.... Allah atakulipa inshaallah Maandsh yko hayatapotea buree
 
Mungu akuweke Shekhe wangu,Mwalim wangu wa historia ya kweli ilotukuka.... Allah atakulipa inshaallah Maandsh yko hayatapotea buree
Alwayz...
Amin.

Ngoja nikupe kisa kidogo cha sahib wangu Jim Bailey.

Mwka wa 2000 niko katika ndege naelekea Johannesburg nimekaa na Mzungu
mmoja tukaanza mazungumzo.

Akaniuliza nakwenda wapi.
Nikamwambia kuwa safari yangu khasa ni Manzini Swaziland na kisha J'burg.

Akaniambia unakwenda Jburg kufanya nini?
NIkamwambia kutembea nina rafiki yangu nataka nikamtembelee.

Nikamtajia jina, ''Jim Baliey.''
Akaniuliza, ''Wewe unafahamiana na Bailey?''

Nikamjibu, ''Naam.''

Akanipa pole kisha akasema, ''Mimi Bailey ni jirani yangu na tumemzika mwezi
uliopita.''
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…