Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Wakuu,
Jana kulikuwa na uzinduzi wa vitenge maalum kwa ajili ya siku ya wanawake.
Malalamiko yalijitokeza kuhusu vitenge hivyo kuwa na picha ya Rais ilhali tukio lilikuwa ni la kitaifa na sio la kisiasa.
Tunaomba kama vitenge vina picha ya Mwenyekiti wa CCM, watumishi wa umma wasilazimishwe kununua.
Kuna watu sio CCM na hawakikubali hicho chama, kulazimishwa kununua vitenge vyenye picha ya Mwenyekiti wa CCM ni kuwaonea na kutowatendea haki.
Soma pia: Machi 8 tunaadhimisha Siku ya Wanawake au Siku ya Samia? Picha zake kutapakaa kwenye vitenge vya maadhimisho ni ili iwe nini?
Kama walikuwa wanataka kuweka picha wangeweka picha ya Maria Nyerere, Bibi Titi au Getrude Mongella. Watu ambao ni politically inactive na hawatokuwa symbol of political division
Gaweni bure hivyo vitenge au msilazimishe watu kununua.
Pia soma: