Siku ya Wanawake Duniani: Wewe kama mwanamke umefanya kipi mpaka sasa cha kuuthibitisha huu msemo mnaoupenda? "What a man can do, a woman can do"

Siku ya Wanawake Duniani: Wewe kama mwanamke umefanya kipi mpaka sasa cha kuuthibitisha huu msemo mnaoupenda? "What a man can do, a woman can do"

Nobunaga

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2019
Posts
1,205
Reaction score
5,121
Huyu mwenzenu ameshasema "Count me out", amesema yeye kubeba zege, kulima bado sana, hayo tuachiwe wanaume.

Kumbuka kauli mbiu ya mwaka huu ni “Kwa Wanawake na Wasichana Wote. Usawa. Haki na Uwezeshaji.”

Naandika nyuzi zinazotengeneza mijadala ya moto, wanasema mimi ni mwanaume, hawaamini mwanamke can do that 🤣🤣😂😂😂
Kuandika uzi ndo unajikuta mwanaume mambo ya mabishano ni yakike thus y mawakili huvaa mawigi kuonesha asili ya mabishano wanaume ni task oriented sio maneno
 
Back
Top Bottom