Kaulimbiu ya Sasa siku ya wanawake duniani ni. _*Badili Fikra Kufikia Usawa wa Kijinsia kwa Maendeleo Endelevu*_ Usawa wa Kijinsia ni hali ya upatikanaji sawa wa rasilimali na fursa bila kujali jinsia. Hapa hazizungumziwi fursa za wewe mwanamke unaetumia mwili wako(kujiuza) kama kigezo cha kujipatia fedha au Mali,au mwanamke unaedanga kila siku na kuharibu ndoa za watu,,kutwa nzima wewe kueneza umbea tu huna shughuli yoyote ya kufanya.
Mwanamke unatakiwa ubadili fikra zako katika kupambana na maisha kijamii, kiuchumi, au kisasa ili hayo maendeleo endelevu yaweze kupatikana. Hizo ndizo fursa/rasilimali za mwanamke anayejitambua vyema.
happy Women's Day kwa wanawake au wasichana wote wa Jf wanaopambana kimaisha na kujikwamua kiuchumi,kijamii,kielimu na kifikra na hata kisiasa.