Siku ya Watakatifu wote huwa ni 1st Nov, kwanini uchaguzi wa Marekani hufanyika J'nne baada siku hiyo?

Siku ya Watakatifu wote huwa ni 1st Nov, kwanini uchaguzi wa Marekani hufanyika J'nne baada siku hiyo?

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
20,561
Reaction score
24,428
Chaguzi zote za Marekani hufanyika jumanne ya kwanza ya mwezi November baada ya sikukuu ya watakatifu wote, what the secret behind?
 
Chaguzi zote za Marekani hufanyika jumanne ya kwanza ya mwezi November baada ya sikukuu ya watakatifu wote, what the secret behind?
Watakatifu wamepishana siku moja na mashetani
 
watakatifu na wataka TIFU.
 
Attachments

  • Screenshot_20241103-202558.png
    Screenshot_20241103-202558.png
    1.5 MB · Views: 2
Huku Bongo Jumanne wanaiita ni siku mbaya ya matambiko na kichawi
 
Back
Top Bottom