Siku yako ya Kwanza kumiliki nyumba, gari, pikipiki, baiskeli, ilikuwaje

moyomacho

Senior Member
Joined
Feb 5, 2020
Posts
138
Reaction score
103
Kumiliki kitu Kama nyumba, gari,baiskeli, pikipiki sio kitu Cha mchezo,
Tuambie siku yako ya Kwanza kumiliki .......... ulikuwa na mzuka gani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi siku ya kwanza kuendesha gari sikulala kabisa...saa kumi na mbili nikawa macho nikaenda kuiosha ilikua 2016 naingia chuo mwaka wa kwanza.

Nawaza siku nitakayomiliki itakuaje japo ndoto zipo karibu mno.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nyumba yangu huko mkoani, siku ilivokamilika na kuweka vitu vyangu, nlishinda uchi na binti mmoja hvi.. yaan sebuleni nkitoka hpo chumban jikon(hakukua na kitu l) yaan raha sana. saiv nimepanga hpa mjini japo napamiss sana kwangu.
 
Unajihisi kama ukitembea hukanyagi chini.Watu waliojenga bwana,utakuta kila ukipiga naye story mbili tatu utasikia anakuuliza,vipi umeshajenga nyumba.Kile ni kiwewe tu utakuta nyumba yenyewe moja,sasa na yule mwenye nyumba 10 naye aseme nini...
 
Unajihisi kama ukitembea hukanyagi chini.Watu waliojenga bwana,utakuta kila ukipiga naye story mbili tatu utasikia anakuuliza,vipi umeshajenga nyumba.Kile ni kiwewe tu utakuta nyumba yenyewe moja,sasa na yule mwenye nyumba 10 naye aseme nini...
Umeweza kunichekesha sana mkuu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Siku nachomoa gar yard nilikaa nalo wiki bila kuliosha nlipolipeleka car wash nliwapiga jamaa marufuku kuzugua zile chaki[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila baada ya mwezi nlikujazitoa

Kuhusu nyumba sikuona chaajabu kwanza mpaka umalize tu ujenzi kunakua amna jipya kwako tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
 
Kuna jamaa yangu kaajiriwa kufunga mabomba ya kumwagilia miwa kwenye kiwanda cha Kilombero Sugar Company.Sasa huyu jamaa baada ya kupata kamshahara chake akanunua kiTV cha inchi 10 cha chogo na kideki cha singsung.
Aisee ni mwendo wa rege tu utadhan tupo Jamaica.
Yaani kukaa sebuleni kwake ishu kila mara anaigusa deki akiona imekuwa ya moto anasema jamani tv ipumzike.Kisha anachukua deki na kiTV chake anarudisha kwenye box huyooo anaenda kuiweka chumbani kwake ikipoa tu anairudisha sebuleni.
 
Da[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilinunua pikipiki yangu ya kwanza many years ago pale Elia complex siku iliofuata asubuhi naenda kazini nikachomekewa na defender ya wajeda nusura initoe meno yote ya mbele. Kipindi hicho dar hakuna bodaboda alafu kijana mdogo nakuja kazini na pikipiki yangu brand new. kazini nilijiona niko juu. Umaskini bwana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hicho ndo ntafanya mkuu siku ntakayo milik nyumba.
nazima simu narelax kabisa nakupata kinywaji nikiwa nawife naked with my balls hanging nikizunguka hapanapale. Siipati picha hio siku
nyumba yangu huko mkoani, siku ilivokamilika na kuweka vitu vyangu, nlishinda uchi na binti mmoja hvi.. yaan sebuleni nkitoka hpo chumban jikon(hakukua na kitu l) yaan raha sana. saiv nimepanga hpa mjini japo napamiss sana kwangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…