Siku yako ya leo umefanya nini?

Siku yako ya leo umefanya nini?

Maisha sio movie hicho ndo niicheze jifunza.
 
Leo nimejifunza kuna vipimo ndani ya vipimo
 
leo nimejifunza kuishinda nafsi.
nimekaa na manzi chobingo flani kisu hatari.ila baada ya salamu sikumtongoza,sikumsemesha, na sio kawaida yangu.
hakika kama kwa tukio lile kama nikifa sasahivi naingia peponi bila kikwazo.
 
Back
Top Bottom