kiss daniel
JF-Expert Member
- Mar 1, 2019
- 758
- 2,062
Aman iwe juu yenu
Siku yangu ya kusherekea kuzaliwa kwangu ukiniletea mambo ya dar ya kumwagiana matope nakuchapa lisasi habari yako inaishia hapo
Nimeongea hivyo coz imekaribia na Mimi ni mtu Wa watu lakin siyo mtu Wa kila mtu
Ni hayo tu
Msije sema sikuwambia
Aman itamalaki juu yenu
NEW YORK BOY
Sent using Jamii Forums mobile app