kiss daniel JF-Expert Member Joined Mar 1, 2019 Posts 758 Reaction score 2,062 Mar 15, 2019 #1 Aman iwe juu yenu Siku yangu ya kusherekea kuzaliwa kwangu ukiniletea mambo ya dar ya kumwagiana matope nakuchapa lisasi habari yako inaishia hapo Nimeongea hivyo coz imekaribia na Mimi ni mtu Wa watu lakin siyo mtu Wa kila mtu Ni hayo tu Msije sema sikuwambia Aman itamalaki juu yenu NEW YORK BOY Sent using Jamii Forums mobile app
Aman iwe juu yenu Siku yangu ya kusherekea kuzaliwa kwangu ukiniletea mambo ya dar ya kumwagiana matope nakuchapa lisasi habari yako inaishia hapo Nimeongea hivyo coz imekaribia na Mimi ni mtu Wa watu lakin siyo mtu Wa kila mtu Ni hayo tu Msije sema sikuwambia Aman itamalaki juu yenu NEW YORK BOY Sent using Jamii Forums mobile app
and 300 JF-Expert Member Joined Jun 27, 2012 Posts 26,398 Reaction score 36,406 Mar 15, 2019 #2 Mtu wa watu eeh. Tope Limited
Its Pancho JF-Expert Member Joined Sep 21, 2018 Posts 15,966 Reaction score 26,404 Mar 16, 2019 #3 Sio tope ni oil chafu mkuu.. Me niliviziwa tuu Sina hata habari Kumbe wamenipangia pila! Acha mzeebaba
Sio tope ni oil chafu mkuu.. Me niliviziwa tuu Sina hata habari Kumbe wamenipangia pila! Acha mzeebaba
princemikazo JF-Expert Member Joined Jan 10, 2019 Posts 2,195 Reaction score 2,056 Mar 16, 2019 #4 Ni kwerekweche babulai.
Rohombaya JF-Expert Member Joined Jul 4, 2011 Posts 13,067 Reaction score 10,393 Mar 17, 2019 #5 Dah....uko Dar au mkoa? [emoji41] Sent using Beretta ARX 160
Rohombaya JF-Expert Member Joined Jul 4, 2011 Posts 13,067 Reaction score 10,393 Mar 18, 2019 #6 kiss daniel said: Niko makao makuu Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Dah.... Ndiyo sababu kumbe....hapo ni mkoa bradha....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sent using Beretta ARX 160
kiss daniel said: Niko makao makuu Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Dah.... Ndiyo sababu kumbe....hapo ni mkoa bradha....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Sent using Beretta ARX 160
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 52,160 Reaction score 48,974 Mar 18, 2019 #7 Ukimlipua mtu unaenda sherehekea kwenye nondo Sent using Jamii Forums mobile app
Mayala B JF-Expert Member Joined May 13, 2019 Posts 2,109 Reaction score 5,284 Jun 7, 2019 #8 Huu ujjnga hata mimi huwa siupendi