Siku yangu ya kwanza kujiunga JF nilidhani haya

mimi mara ya kwanza kujiunga nilikutana na mada inayoesema mahojiano ya Jamii forum na mkuu wa free masonry sir Andy chande
nilizani nimejiunga na mtandao wawajenzi lakini baadaye nilielewa tu
 
Mi nilidhani jf wote wana magari mazuri,wamejenga,Wana elimu ya kutosha,wengi humu wamefika nchi zilizoendelea nk,hii ni kutokana na thread zao
Kumbe wengine wanapanga na wanadaiwa kodi
 
mimi mara ya kwanza kujiunga nilikutana na mada inayoesema mahojiano ya Jamii forum na mkuu wa Jamii forum sir Andy chande
nilizani nimejiunga na mtandao wawajenzi lakini baadaye nilielewa tu
Andy chandy so yule wa free mason??
 
Na kweli wengi walikuwa na shahada za kipaimara na ubatizo
Kipindi hiko, ukifahamu tuu kidogo kuhusu ILLUMINATI na NEW WORLD order ndio unatamba, maana ndio yalikuwa yanaishhika nchi ila kw sas hivi yamezoeleka ili uteke jukwa inabidi uwe kwenye political trends
 
Hela muhaya anaweza akawa na jero anatuna kuliko mkurya au muha mwenye million
Unaweza kuta mm nimetandaza mitumbwi ya dagaa ziwa Tnganyka lote ila sina misifa
Madem zenu nawashukuru kwa kunipatia vyema huduma wakati Niko chule, wanahuruma sana kwenye sekta ya kugawiana utamu
 
2010 halafu ukapumzika mpaka 2015

Kwanini unataka kuonekana mkongwe kumbe wa juzi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…