Siku yangu ya kwanza kujiunga JF nilidhani haya

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama kuna ukweli hivi!!
 
Sio kama ndio ukweli wenyewe huo mpenzi

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Umenifanya nianze kuwafikiria wenye busara kina Malcom Lumumba basi ikanijia picha ya boonge la kimeo.
Akija mwambie sio mimi niloandika hapo niko hacked.
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Nilivutiwa na mijadala makini ya JF tuu..hasa upande wa Tech na jamii intenl.

Nilijua jf kuna watu wahuni na watu wema kama zilivyo forum zingine..

Niliamini asilimia 70% ya jf members ni watu fulani wenye upeo mkubwa na wenye kuweza kuchambua mambo..lakini ni tofauti na uhalisia..

Ki-ufupi nilikuwa na picha halisi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haaahaha...pole mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…