chiqutitta
JF-Expert Member
- Nov 13, 2015
- 1,160
- 3,124
Amesema ameona siku yake sio siku zake khaaa...muoneHongera, Mungu aendelee kukupa nafasi ya kuendelea kuziona siku zako nyingi na nyingi zaidi, zijae neema na furaha.
Amesema ameona siku yake sio siku zake khaaa...muone
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Zikawe nyingi hizo siku zako.
Nimekuelewa hivyohivyoAmesema ameona siku yake yes, mimi nimemwombea apate maisha marefu azione nyingi zenye amani na furaha.
Au wewe umenielewaje?
Hongera sana, hiyo ni ishara kuwa upo salama salimini.Namshukuru Mungu kwa kuniweka hai hadi leo nimeweza kuiona siku yangu tena
Mungu endelea kunibariki[emoji120]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Siku yako ya kufa kwani inakaribia kufika.Mdogo wangu hivi unataka usikie nimekufa ndiyo ujifanye kulia siyo?
Siku yako ya kufa kwani inakaribia kufika.
Na nimekususa kweli.
Namshukuru Mungu kwa kuniweka hai hadi leo nimeweza kuiona siku yangu tena
Mungu endelea kunibariki[emoji120]
Ahsante sana ubarikiweHongera, Mungu aendelee kukupa nafasi ya kuendelea kuziona siku zako nyingi na nyingi zaidi, zijae neema na furaha.
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Zikawe nyingi hizo siku zako.
[emoji44]Unatumia pedy lakini
[emoji23]Amesema ameona siku yake sio siku zake khaaa...muone
Amina my diaHongera sana dear...
Mungu azidi kukupa siku tele jamani, akubariki mpaka unigawie mibaraka!
[emoji23]ni nini lakini?Hongera sana, hiyo ni ishara kuwa upo salama salimini.
Usipoiona siku ufanye haraka kumuona Daktari