Siku yenu yaja, Picha ya mdogo wangu

Siku yenu yaja, Picha ya mdogo wangu

Robot la Matope

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2015
Posts
8,174
Reaction score
16,794
Hawa ndo wametufanya masikini ndo tunawapigia magoti..

Let our oppressors apprehend that their days are dwindling, for the tempest of justice inexorably advances towards their doorsteps.

FB_IMG_1720685340577.jpg
 
Hawa ndo wametufanya masikini ndo tunawapigia magoti..

Let our oppressors apprehend that their days are dwindling, for the tempest of justice inexorably advances towards their doorsteps.

View attachment 3039271
msikimbilie kulaumu hivi mnajua kuwa huyo ni kiongozi wa serikali waziri ila pia ni kiongozi wa kimila hapo kwao... sasa lazima ujue tarajibu za watu wa huko pengine ili kuongea na kiongozi lazima upige goti ukiwa mwanamke..sasa hapo Jenista hana kosa na hawezi kuwakataza maana ndio desturi zao.
 
Mila za ajabu ajabu
 
Umepona corona?
 
Hawa ndo wametufanya masikini ndo tunawapigia magoti..

Let our oppressors apprehend that their days are dwindling, for the tempest of justice inexorably advances towards their doorsteps.

View attachment 3039271
Anayejidhalilisha ni huyo anayempigia magoti binadam mwenzie.

Na lile gala limekaa linamtazama kikunyakunya, hata adabu ya kunyanyuka na kumkataza halina.

Yamekutana makondoo mawili hapo.
 
Ungeileta na ile picha ya Jenijeni naye kapiga magoti akimfikishia/kupokea ujumbe kutoka kwa mmoja wa mawaziri "wakubwa" ili kuleta mlinganyo sahili.
 
Anayejidhalilisha ni huyo anayempigia magoti binadam mwenzie.

Na lile gala limekaa linamtazama kikunyakunya, hata adabu ya kunyanyuka na kumkataza halina.

Yamekutana makondoo mawili hapo.
We bibi una matatizo sana! 🤬🤬
 
Back
Top Bottom