Robot la Matope
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 8,174
- 16,794
Mzee Jomo Kenyatta hakukosea kumwambia J.K.Nyerere kuwa anatawala maiti.Hawa ndo wametufanya masikini ndo tunawapigia magoti..
Let our oppressors apprehend that their days are dwindling, for the tempest of justice inexorably advances towards their doorsteps
Trust me siku yajaWatanzania ni laana gani hii inawasumbua?
Itachukua miaka 100 Hadi tujitambue
Siji kufa bila kushuhudia hawa watesi wetu wakienyaMzee Jomo Kenyatta hakukosea kumwambia J.K.Nyerere kuwa anatawala maiti.
Hawa watu wana dharau zoote[emoji849][emoji849] mbona jenister ni kama mnyenyekevu aliwezaje kuwa Comfortable anaongea na mtu hivo. No matter what.[emoji849]
msikimbilie kulaumu hivi mnajua kuwa huyo ni kiongozi wa serikali waziri ila pia ni kiongozi wa kimila hapo kwao... sasa lazima ujue tarajibu za watu wa huko pengine ili kuongea na kiongozi lazima upige goti ukiwa mwanamke..sasa hapo Jenista hana kosa na hawezi kuwakataza maana ndio desturi zao.Hawa ndo wametufanya masikini ndo tunawapigia magoti..
Let our oppressors apprehend that their days are dwindling, for the tempest of justice inexorably advances towards their doorsteps.
View attachment 3039271
Mila za ajabu ajabumsikimbilie kulaumu hivi mnajua kuwa huyo ni kiongozi wa serikali waziri ila pia ni kiongozi wa kimila hapo kwao... sasa lazima ujue tarajibu za watu wa huko pengine ili kuongea na kiongozi lazima upige goti ukiwa mwanamke..sasa hapo Jenista hana kosa na hawezi kuwakataza maana ndio desturi zao.
Umepona corona?msikimbilie kulaumu hivi mnajua kuwa huyo ni kiongozi wa serikali waziri ila pia ni kiongozi wa kimila hapo kwao... sasa lazima ujue tarajibu za watu wa huko pengine ili kuongea na kiongozi lazima upige goti ukiwa mwanamke..sasa hapo Jenista hana kosa na hawezi kuwakataza maana ndio desturi zao.
Anayejidhalilisha ni huyo anayempigia magoti binadam mwenzie.Hawa ndo wametufanya masikini ndo tunawapigia magoti..
Let our oppressors apprehend that their days are dwindling, for the tempest of justice inexorably advances towards their doorsteps.
View attachment 3039271
misingi mibovu, unategemea nyumba itakuwaje? Nyufa mtindo mmoja.Watanzania ni laana gani hii inawasumbua?
Itachukua miaka 100 Hadi tujitambue
Ungeileta na ile picha ya Jenijeni naye kapiga magoti akimfikishia/kupokea ujumbe kutoka kwa mmoja wa mawaziri "wakubwa" ili kuleta mlinganyo sahili.Hawa ndo wametufanya masikini ndo tunawapigia magoti..
Let our oppressors apprehend that their days are dwindling, for the tempest of justice inexorably advances towards their doorsteps.
View attachment 3039271
We bibi una matatizo sana! π€¬π€¬Anayejidhalilisha ni huyo anayempigia magoti binadam mwenzie.
Na lile gala limekaa linamtazama kikunyakunya, hata adabu ya kunyanyuka na kumkataza halina.
Yamekutana makondoo mawili hapo.
kwani mada nimeleta mimi?We bibi una matatizo sana! π€¬π€¬
Jamii ya kanyaga twende, yaani jamii ambayo haiwezi kuchakata fikra chanya na hasiWatanzania ni laana gani hii inawasumbua?
Itachukua miaka 100 Hadi tujitambue
Mkuu usisahau naye aligaragara hivi majuzi, shida ipo mahali.ππ mbona jenister ni kama mnyenyekevu aliwezaje kuwa Comfortable anaongea na mtu hivo. No matter what.π
Tatizo binadamu badala ya kubuni mbinu za kukabiliana na changamoto tunafikiria kwenda kuomba, (kumpigia mtu mwingine magoti)Mkuu usisahau naye aligaragara hivi majuzi, shida ipo mahali.
Misukule ni mingi tz! Ccm ni hovyo sana!Mzee Jomo Kenyatta hakukosea kumwambia J.K.Nyerere kuwa anatawala maiti.