anavutia
New Member
- Sep 8, 2014
- 2
- 0
Habari wana jf, tafadhalini naomba msaada kwa yoyote anaejua hili tatizo.
Siku zangu za hedhi zimekua chache sana, naenda siku moja tu basi. Haikua hivi mwanzo, kabla sijapata miscarriage nilikua naenda siku hata nne. Na nilivoolewa tu nikapata mimba mwezi wa kwanza tu, bahati mbaya nikapata miscarriage baada ya kupatwa na ajali. Hospitali wakaconclude ni mshtuko tu, maana walipima vibimo vyote nikaonekana niko poa.
Ila baada ya miscarriage nikaona hedhi imepungua sana, naenda siku moja tu, na sijaweza shika mimba tena mwaka wa nne sasa.
Nimeshaenda regency agakhan naandikiwa vipimo vya ultrasound na mirija vyote nimefanya hamna tatizo.
Mwisho nikaenda kwa prof mgaya mwaka juzi, akasema kuta zangu za kizazi zitakua zimeshikana, akanifanyia procedure kuachanisha na kuniwekea kitanzi miezi sita.
Bado hedhi naenda siku moja na mimba sijaweza shika.
Kama kuna mtu ashawahi kupatwa na tatizo hili naomba unisaidie , au kuna dr. Mwingine yyte unadhani anaweza nisaidia.
Asanteni sana.