Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Hakuna timu yoyote duniani inayoweza kuvumilia kocha asiyeleta matokeo hata kama ana CV ndefu kuliko mlima Kilimanjaro , Simba sasa hivi hata lile PIRA BIRIANI tulilozoea kuliona limeyeyuka utadhani Chuma chakavu kinachotengeneza nondo
Nimeangalia kuanzia mapinduzi cup hadi kwenye ligi ya NBC , haijulikani hata fomesheni ambayo Simba inacheza , humu kocha hamna , Tumepigwa vibaya sana , kikubwa alichoonyesha mpaka sasa ni tabia yake mbaya ya kupiga mateke viti vya Plastic labda na mihasira isiyo na kichwa wala miguu .
Namtabiria kutimuliwa muda mfupi sana ujao .