Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Weweeeeeeee katoka Madrid ya Zidane huyo.Hakuna timu yoyote duniani inayoweza kuvumilia kocha asiyeleta matokeo hata kama ana CV ndefu kuliko mlima Kilimanjaro , Simba sasa hivi hata lile PIRA BIRIANI tulilozoea kuliona limeyeyuka utadhani Chuma chakavu kinachotengeneza nondo
Nimeangalia kuanzia mapinduzi cup hadi kwenye ligi ya NBC , haijulikani hata fomesheni ambayo Simba inacheza , humu kocha hamna , Tumepigwa vibaya sana , kikubwa alichoonyesha mpaka sasa ni tabia yake mbaya ya kupiga mateke viti vya Plastic labda na mihasira isiyo na kichwa wala miguu .
Namtabiria kutimuliwa muda mfupi sana ujao .
Chama chaHakuna timu yoyote duniani inayoweza kuvumilia kocha asiyeleta matokeo hata kama ana CV ndefu kuliko mlima Kilimanjaro , Simba sasa hivi hata lile PIRA BIRIANI tulilozoea kuliona limeyeyuka utadhani Chuma chakavu kinachotengeneza nondo
Nimeangalia kuanzia mapinduzi cup hadi kwenye ligi ya NBC , haijulikani hata fomesheni ambayo Simba inacheza , humu kocha hamna , Tumepigwa vibaya sana , kikubwa alichoonyesha mpaka sasa ni tabia yake mbaya ya kupiga mateke viti vya Plastic labda na mihasira isiyo na kichwa wala miguu .
Namtabiria kutimuliwa muda mfupi sana ujao .
Lakini mechi alizoshinda ni nyingi kuliko alizopoteza ama kutoa sare, yaani kosa moja lifute mema elfu moja? ila leo nimebaki kumtafakari sana kitendo cha kumuingiza chama halafu badae anamuuliza chama vipi mbona hamna goli? Chama akamjibu muda bado. Yaani kocha badala ya ku switch mbinu na ufundi mbali mbali badala yake unamuuliza mchezaji kulikoni. DahHakuna timu yoyote duniani inayoweza kuvumilia kocha asiyeleta matokeo hata kama ana CV ndefu kuliko mlima Kilimanjaro , Simba sasa hivi hata lile PIRA BIRIANI tulilozoea kuliona limeyeyuka utadhani Chuma chakavu kinachotengeneza nondo
Nimeangalia kuanzia mapinduzi cup hadi kwenye ligi ya NBC , haijulikani hata fomesheni ambayo Simba inacheza , humu kocha hamna , Tumepigwa vibaya sana , kikubwa alichoonyesha mpaka sasa ni tabia yake mbaya ya kupiga mateke viti vya Plastic labda na mihasira isiyo na kichwa wala miguu .
Namtabiria kutimuliwa muda mfupi sana ujao .
Wewe wasema!Hatutaki Pablo aondoke, tunataka Mo atuachie timu yetu.
Mkuu wewe unayefanya kazi unapata wapi muda wa kufuatilia thread za hovyo ??Hivi wewe Erythrocyte huwa unafanya Kazi Sana ngapi ndugu?Massa yote upo Jf unaanzisha tu mathread!!Au unalipwa na JF kupost?Lakini mbona thread zenyewe ni poor Sana,wala sio za fikra pevu,wanaweza kulipia ujinga kweli??
Wewe ni kielelezo cha vijana wavivu na wapumbavu wanaofikiri maisha ni kushinda tu mtandaoni na kupost chochote watu wachangie...Kwahiyo watu wakichangia ubwege wako unajiona mjaaaaanja mwenyewe,unaishi kwa shemeji nini?
Arteta si kocha , fuatilia game za carabao dhidi ya Liverpool , bahati yake ni kwamba Arsenal hawana hela ya kupata kocha wa maanaBaada ya kuona utabiri uchwara uliomtabiria Arteta umefeli mpaka sasa umeamua kuhamia Bongo sasa.
[emoji38][emoji38][emoji38] Imebidi nicheke tu ! hongera sana mkuuHivi wewe Erythrocyte huwa unafanya Kazi Sana ngapi ndugu?Massa yote upo Jf unaanzisha tu mathread!!Au unalipwa na JF kupost?Lakini mbona thread zenyewe ni poor Sana,wala sio za fikra pevu,wanaweza kulipia ujinga kweli??