From HEAVERN
Member
- Jun 8, 2014
- 25
- 3
Habari za jumapili wanajamvi,
Naomba niende mojakwa moja kwenye mada. Nina rafiki yangu alipoanza kuingia period akiwa kidato cha 2 alikuwa anaingia siku 4 hadi 5 but sasa hivi yupo kidato cha sita na anaingia period siku moja au mbili. Je, hili ni tatizo au ni kawaida na kama ni tatizo suluhisho ni nini?
Natanguliza shukrani za dhati.