Siku za kuingia period kupungua

From HEAVERN

Member
Joined
Jun 8, 2014
Posts
25
Reaction score
3
Habari za jumapili wanajamvi,

Naomba niende mojakwa moja kwenye mada. Nina rafiki yangu alipoanza kuingia period akiwa kidato cha 2 alikuwa anaingia siku 4 hadi 5 but sasa hivi yupo kidato cha sita na anaingia period siku moja au mbili. Je, hili ni tatizo au ni kawaida na kama ni tatizo suluhisho ni nini?

Natanguliza shukrani za dhati.
 
Hakuna tatizo hapo! Huyo rafiki yako (wewe mwenyewe! teh!) ni kwamba ameshaanza kuliwa!
 
kwamba ukianza kuliwa ndio unakuwa hivyo?? bas mim ingekuwa haitoka kabisa

Kwi kwi kwi
Uuuuupsi
Umenifanya nikacheka kwa sauti had watu wananishangaa
U made my dia.
Hat tone lisingeonekana

Sasa mbona walioilewa wanaona na kila siku wanaliwa
 
kwamba ukianza kuliwa ndio unakuwa hivyo?? bas mim ingekuwa haitoka kabisa

Hahahahahahahahahahahaaaa...! MankaM acha kuchekesha watu bhana! Spati picha unavyoliwa wallah!
 
Mzima wewe ...pole kwa Jana

Tufafanulie vizuri hapa mkuu hasa suala LA kuliwa

Dah! Nimeshapoa asee!

ICHANA hapo nimeongea kwa ka experience! 2 examples!

1 Kipindi nipo O level, nilikua na katoto ka fm 2, kalikua kazimaaaaa! Kanakwenda mwezini siku sita! Mwee! Situanze kale kamchezo! Automaticale zilipungua siku zake na kuwa nne! (mimi sikujua hilo!)

Kuna siku nikamuomba tena ile ndude akaja but akanikatalia! Nilipoomuuliza kwanini? Akanijibu:

"Mama kaniambia ntashika mimba!" nilimkosa bonge la bao! Kwa hasira nikamuuliza: "Inamaana ulimwambia mama kama unatoa mbunye?" akajibu hapana!"

"Amejuaje?"

"Niliona siku zangu za mwezini zikipungua, nilidhani ni tatizo, nikaamua kumuuliza! Akanimbia nimeanza kulala na mwanaume!"

Honestly yule mtoto alikuwa mtamu na alikuwa akikojoa kama mfereji wakati wa kale kamchezo! May be sababu hiyo ilifanya siku zake za mwezini zipungue!

Mfano wa pili sitokwambia kwa vile ulibase ktk kutafuta ukweli wa mfano wa mwanzo!

Nilichokiobserve ni kwamba wale wanaokojoa sana, ndio hasa siku zao hupungua! Kaexipirience cha wale wa kulainisha na mate sina!

I hope hauja kariri, na umenisouma vilivyo hapa!

Nb: hapa asome ICHANA, MankaM na mleta mada tu! Ole wake mtu mwengine aniquote hapa!
 

Nilikua najiuliza mtu akikuquote utamfanyeje?
 
I hope hauja kariri, na umenisouma vilivyo hapa!

Nb: hapa asome ICHANA, MankaM na mleta mada tu! Ole wake mtu mwengine aniquote hapa!

Nimepasoma kumbe una experience ya kutosha kama umeanza tangia form two
Unanifanya nitamke lile neno before mfungo haujaisha ujue lol

Pili huyu bint alidanganywa na mama ake tu
Ila experience ya hao wanaokojoa Sina mkuu

Mimi najua mtu akiona kidogo au akapitiliza mwezi bhasi itakuwa may be Ana stress,Milo,kaugonjwa, nk

Ila ukiniambia inapungua cos ya mipini hili ni jipya kwangu nimeadd in my memory
 
Nilikua najiuliza mtu akikuquote utamfanyeje?

Aaa! Kwanza jana tumefungwa! Mtu yeyote atakae kwenda kinyume na nb nammalizia hasira zangu! Tulia apo apo utaletewa habari ya msiba! Hapana chezea mimi wewe!
 

Nimesema O level lol!
Ok endelea na karesearch kwa hawa wadada wanaokojoa sana!
Nami nimekubali mlo, sitiresi na ugonjwa husababisha hilo!

Uwe na mchana mwema!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…