Siku za mwizi 20 check hii

yani hapo ni kwamba mungu kawaonyesha jinsi gani wanavyopendana na jinsi gani mungu kaukubali uhusiano wao,kwahiyo they have to sit down nawapange mipango ya ndoa.
 
Siku za mwizi kweli.. ndugu yetu naye kalala nyumbani kwake na mkewe, ghafla mwanamke kashtuka usingizini na kumwamsha akisema 'amka mume wangu ndo huyo anabisha mlangoni' ...masikini mume mtu huyoo, dirishani akakimbilia nje...baadaye anashtuka mmh..hapa si kwangu hivi nnachokimbia nini...kisa hiki utasemaje sasa... nani mwenye mziki sasa:rain:
 
what happened!! walifunga ndoa.wakala tunda palepale.
 
sas hapa we unadhani utafanya nin! unamkaribishatu ndani na mnaendelea na mengine ambayo mlikua mmepanga kuyafanya.
 
Kama msichana ntasema nilijua tu toka mwanzo unanisaliti mpenzi wangu ndo maana nimekuja mpaka hapa kukukamata namgeuzia zali jamaa:wink2::wink2::wink2::wink2:

Maria Roza, mpenzi, huwezi amini mshituko utakaoupata hata maneno ya kuongea yatakuishia, labda kama umeshapitia haya mambo mara kwa mara, umeshawahi kuona m-baba/-m-mama aliyefumaniwa na mtu aliyemzidi umri hata kama ana miaka 18. Hugopa hiyo kitu. Na kama kweli nikifanikiwa kupata hizo nguvu naunga mkono hoja yako.
 
Na kwa nini? Huwa haumpi za ukweli siku zote za nyumba. Kama mwizi mwizi tu hata ukimpa za ukweli siku hiyo akikutana na mwingine physically, not on line, bado atadanganya tu, hapo mtakuwa m-mepata somo kwamba kumbe wote si waaminifu. If u do me I do u, itakuwa inachukua nafasi.
 
tatizo wanawake w cku hz vicheche sana ....ht km 2mefumaniani mwanamke lazima nimtie vibao.

Wanawake wa siku hizi eee, vipi na huyo mwanaume? aliyediriki na kutuma na tax na kupanga chumba unamsemeaje?
 
Kama msichana ntasema nilijua tu toka mwanzo unanisaliti mpenzi wangu ndo maana nimekuja mpaka hapa kukukamata namgeuzia zali jamaa:wink2::wink2::wink2::wink2:
Badala ya kugombana si kitanda kipo karibu hapo hapo. Mnasuluhisha mambo mkiwa Wembley halafu mnarudi nyumbani kama vile ndiyo mmeonana kwanza. Halafu topic closed.
 
Yaani hapo ni kubadili kibao tu nilikuwa nakuona tu kwenye laptop unavyochat na mimi nikajiunga ili nikukamate ha ha ha hiyo ni kali sana

teh teh, join date ipo. ikiwa ulitangulia kujoin JF kabla yake?
 
Bwa hah haa haahaha haahaha haahaaa! Duh you have made my evening!
 
tatizo wanawake w cku hz vicheche sana ....ht km 2mefumaniani mwanamke lazima nimtie vibao.

Na uache mambo yako ya uonevu...Umpige vibao kwa kosa lipi?
Au ndo unatumia nguvu zako...Mkuki kwa nguruwe eeeh!
 
Na uache mambo yako ya uonevu...Umpige vibao kwa kosa lipi?
Au ndo unatumia nguvu zako...Mkuki kwa nguruwe eeeh!

nitamtia vibao kwanin awe mrahic hivyo!
 
Wanawake wa siku hizi eee, vipi na huyo mwanaume? aliyediriki na kutuma na tax na kupanga chumba unamsemeaje?

dini inaruhusu kuwa na wake wawili.kwan mwanamke anaruhucwa au ukicheche 2!!
 
Ni hadithi ya kupikwa lakini inaburudhisha. Asante!
 
basi kufungua mlango tuu, suprize... jamaa ashtuka usingizini, lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…