Siku za mwizi ni 49!

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,017
Reaction score
5,294
Wahenga walisema. Hii namba huwezi kuivuka ukiwa na makando kando.

Ni jambo la kusikitisha kwa ligi iliyopata wadhamini wa uhakika na kuingiza pesa nyingi, kisha timu inaweka bajeti ya zaidi ya 300M kwa ajili ya kununua ushindi kupitia kwa waamuzi na baadhi ya wachezaji na wakati mwingine viongozi wa timu pinzani.


Tafuteni stori nyngine
 
Simba ndio timu iliyo iuzia Yanga mechi nyingi zaidi kuliko timu yoyote Tanzania.
Kwa ujumla Simba ndio duka la kudumu la Yanga[emoji3][emoji3]
 
Simba ndio timu iliyo iuzia Yanga mechi nyingi zaidi kuliko timu yoyote Tanzania.
Kwa ujumla Simba ndio duka la kudumu la Yanga[emoji3][emoji3]
Confidence ya kucheka unaipatia wapi?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ahsanteeee Ihefu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…