Siku za mwizi ni arobaini

Pilipilihoho

JF-Expert Member
Joined
Jan 29, 2016
Posts
202
Reaction score
145
Jamaa mmoja alikuwa na tabia ya udokozi sana huko Tarime. Siku moja jamaa alivunja mlango na kuingia kwenye nyumba moja. Akaingia stoo akaona vinyama vikiwa kwenye bakuli vimekaushwa. Akaonja kimoja akaona kitamu na kina chumvi chumvi!

Jamaa akaamua kuvila vyote na alipomaliza kuvila akaangalia mlangoni akaona maandishi, “TOHARA KWA WANAWAKE!”

Unafikiri jamaa atakuwa alikula nini?
 
Alikula vinyama vilivyokaushwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…