Chapakazi JF-Expert Member Joined Apr 19, 2009 Posts 2,874 Reaction score 316 Oct 9, 2010 #1 Unakumbuka siku zilee...katika shule ilee....Basi Slaa kadaka iyo ishu.... source: KULIKONI UGHAIBUNI: CHAGUO LA MUNGU: "Mafanikio" ya Kikwete 2005-2010 Katika Picha.
Unakumbuka siku zilee...katika shule ilee....Basi Slaa kadaka iyo ishu.... source: KULIKONI UGHAIBUNI: CHAGUO LA MUNGU: "Mafanikio" ya Kikwete 2005-2010 Katika Picha.
payuka JF-Expert Member Joined Jun 17, 2010 Posts 829 Reaction score 127 Oct 9, 2010 #2 Ha ha ha ha! umenickeckesha sana jinsi ulivyoilink hiyo picha na scandal ya ngono inayokabili Yusuph Makamba!
Ha ha ha ha! umenickeckesha sana jinsi ulivyoilink hiyo picha na scandal ya ngono inayokabili Yusuph Makamba!
Fredwash JF-Expert Member Joined Oct 27, 2009 Posts 1,400 Reaction score 2,010 Oct 9, 2010 #3 na alivyokuwa anasikiliza kwa makini... ni kama anasema... "wacha weeee unasema kweli?... sasa huyu mzee anataka kutuu kwa presha... cjui tutangaze sio raia...
na alivyokuwa anasikiliza kwa makini... ni kama anasema... "wacha weeee unasema kweli?... sasa huyu mzee anataka kutuu kwa presha... cjui tutangaze sio raia...