Siku Zinaisha Msaada wa Haraka Tafadhali

Invoice

Member
Joined
Mar 19, 2012
Posts
70
Reaction score
63
WanaJF habarini za mida,
Mimi ni mhitimu wa kidato cha sita 2012 na matokeo yangu yako hivi; CHEMISTRY-E,BIOLOGY-E,GEOGRAPHY-E na B/MATH-S.

Kutokana na hizo maksi nilizopata hapo juu ni kozi gani nzuri na chuo husika ninachoweza kujiunga?
Ingawa binafsi nilipendelea kozi ya BS OF SCIENCE WITH GEOLOGY, lakini wanajf mnaweza kunipa mitazamo yenu kama mdogo wenu. Maana sina uwelewa mzuri wa vyuo vyetu.

Msaada tafadhali ikiwezekana kesho nianze usajili...
 
Geology cdhani ka utapata mkuu,jaribu education.
 
Mi nakushauri,tafuta kitabu cha Tcu(Admission Guidebook) upitie vyuo na programs wanazotoa,utapata programs kibao na mkopo wa kutosha. Angalia hicho kitabu kwanza!
 
kwani wewe una ndoto za kuwa nani? au ndoto yako nikifika chuo kikuu tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…