Sikua nayajua haya kabla ya ugojwa wa Corona, Nadhan siko pekeangu

Sikua nayajua haya kabla ya ugojwa wa Corona, Nadhan siko pekeangu

sanalii

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2018
Posts
1,639
Reaction score
5,767
1- sikua najua kuna virusi vya Corona
2- sikua najua kuna mji China unaitwa Wuhan
3- sikuwahi kusikia wala kujua kuhusu Sanitizer
4- sikua najua mask zinaitwa Barakoa
Wewe je?
 
Back
Top Bottom