sanalii JF-Expert Member Joined Oct 1, 2018 Posts 1,639 Reaction score 5,767 Apr 29, 2020 #1 1- sikua najua kuna virusi vya Corona 2- sikua najua kuna mji China unaitwa Wuhan 3- sikuwahi kusikia wala kujua kuhusu Sanitizer 4- sikua najua mask zinaitwa Barakoa Wewe je?
1- sikua najua kuna virusi vya Corona 2- sikua najua kuna mji China unaitwa Wuhan 3- sikuwahi kusikia wala kujua kuhusu Sanitizer 4- sikua najua mask zinaitwa Barakoa Wewe je?
Nelly JF-Expert Member Joined Jan 25, 2020 Posts 3,338 Reaction score 6,327 Apr 29, 2020 #2 Mimi labda namba 4