Who Cares?
JF-Expert Member
- Jul 11, 2008
- 3,507
- 3,371
uhuru gani? Wa hivo bhanaa loh. Kweli nimeamini duniani kuna wazazi na wazazihiyo sasa ni kuingilia uhuru wa mtu binafsi, coz kile kitundu anakitumia peke yake (not a family property); ingekuwa mikono, mdomo, au hata rungu la mama hapo sawa. Hicho kitolea kinyesi ni cha kwake peke yake! Lol
kama wwe ni mwanaume nakushauri achana na tabia hizi za kike kila unaloliona unataka kulisema. mangapi yanatokea na yanakuhusu hujaambiwa?? siku ukiambiwa na wwe baba yako kaliwa T*GO utafanyaje???
unaeza mwambia rafiki yako ukakuta stori anazijua mwanzo mwisho na katulia tu kama hajui vile utaficha wapi uso wako..
Kama wewe ni mwanamke nakushauri sometimes muwe mnajifunza kuwa na busara katika maamuzi ishu kama hizi hata hazitakiwi kuendeshwa na hisia zaidi cha msingi tumieni busara..
UNACHOULIZA HAPA SIO KUPATA USHAURI UNATAKA KUJUSTIFY UPUMBAVU WAKO TU kama kweli ni sahihi...
KAA KIMYA KABISA TENA USIZUNGUMZE CHOCHOTEE
khaaa kumbe upo kwenye shughuli maalumu shostisho?niende wapi,nipo hapa uliponiacha,au ushakula kona maana nyie cku hzi hamuagi, au umeenda kununua v**gra?
I've read this post and looking through trying to read the mind ya mtoa mada and style yake ya kujibu hoja especially hoja pinzani. Trust me, trust my instincts 'madame b' ni kwamba wewe ni 'me' na wala siyo 'ke' na hapa hii stori ni ya kutunga na hamna ukweli wowote
Probably pia unaweza ukawa una elements za ushoga, may be am not sure. And I really don't care if you are gay or not......
Samahani kwa kuwa nje ya mada na mods msiwe wakali. Ruhusa kuandika 'chochote' ujisikiacho against this post but I won't reply back