Duh kweli hizi siku za mwisho.Ngoja niendelee kutubu dhambi zangu maana saa zile bwana harusi kuhudhulia karamu zinakaribia.
If I earned a shilling everytime I see a post like this I would a millionaire...Duh kweli hizi siku za mwisho.Ngoja niendelee kutubu dhambi zangu maana saa zile bwana harusi kuhudhulia karamu zinakaribia.
the best thing to do is nothing. If u want to interfere then try talking to the dad personally to see if he's gay or not, and figure out from there. Do NOT involve any1 else. if u can't do that then, do nothing.Jamani wana JF,Japo mtasema ni umbea ila ndo hvo tena.
Jana Jumatatu majira ya saa 9 alasiri,nimemshuhudia baba wa rafiki yangu kipenzi,ameshikwa kiuno na dume mwenzie wanaingia The A***UM Hotel,kwa kuwa me nilikuwa kaunta nakunywa hakuniona.
Najiuliza nimpashe best wangu au niuchune!
Okay,Lasikoki.
Me ni KE' mtupu,tangu Utosi tu Unyayo,labda una shida zako za ki-fikra.
Kwani Gay na Lesbo hawana haki? Changia mada,kama huna fungua za mods wengne.
Kuhusu kwamba stori nimeitunga,yawezekama wewe aidha,hujawahi kwenda HOTEL au GESTI.
CONCLD: Niachie cont zako ili nikipata jambo nikutaarifu uje ili uamini kama matukio haya yapo.
UNA LA NYONGEZA?
tehe tehe tehe tehe umetishajekama wwe ni mwanaume nakushauri achana na tabia hizi za kike kila unaloliona unataka kulisema. mangapi yanatokea na yanakuhusu hujaambiwa?? siku ukiambiwa na wwe baba yako kaliwa T*GO utafanyaje???
unaeza mwambia rafiki yako ukakuta stori anazijua mwanzo mwisho na katulia tu kama hajui vile utaficha wapi uso wako..
Kama wewe ni mwanamke nakushauri sometimes muwe mnajifunza kuwa na busara katika maamuzi ishu kama hizi hata hazitakiwi kuendeshwa na hisia zaidi cha msingi tumieni busara..
UNACHOULIZA HAPA SIO KUPATA USHAURI UNATAKA KUJUSTIFY UPUMBAVU WAKO TU kama kweli ni sahihi...
KAA KIMYA KABISA TENA USIZUNGUMZE CHOCHOTEE
Kwa hiyo anatudanganya?Atrium hotel hakuna counter na hawauzi pombe, ama ulikuwa unakunywa juisi jikoni?
NB: una undugu na madame x?