Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Kilimo ni starting point tu ya kuelekea mafanikio eg kutafutia mtaji,but huwez kumantain utajir kwa kutegemea mazao ya shambani, hyo haipo, labda uadvance kwenda kwenye processing goods, na hapo ndo kuna mauza uza, msidanganye vijana wakati nyie mnatembelea ma vx ya ofisini maghorofani, wambieni waje pori huku waone ndo watambue ya kuwa kwa nn babu zao walikufa maskini
Ulifanikiwa kwenda mufindi mkuu?
Njegere sasa zipo sana za kutosha maeneo ya madisi hadi ukwega (kilolo) ,kama una soko la uhakika unaweza kwenda na kukusanya mzigo.may nilikuatana na wamama haa dar wananunua njegere kwa ingi hizo areas!nilichoka mm !zaman hizo pande mtu akilima njegere ni kaeneo kadogo lakin sasa hv kumeendelea mnooo !yaan wanajaza malori wanazituma dar!fursa kibao..sema tumelala sana kufind masoko.... njegere ukiweza kupeleka 'comoro' utatusua tu!
Duh unafukunyua sana Mkuu,, hapo niliandika kipindi natumia jina fulani hivi
By the Mufindi sikuja kwenda ,nilikwenda kilolo namshukuru Mungu lengo la Mufindi limetimia kwa asimilimia fulani kilolo.
Kazi ndo maisha kazi sio dhambi.
i knew...its u!missn u friend
Nipo sana usinimis sana rafiki yangu.
Nilibadili lile jina lilikuwa linanitambulisha kikabila kitu ambacho sio kizuri , watu wengine wangeshindwa kujamiana na mimi kisa jina lile la kikabila.
Mkuu nita kutafuta tafadhaliNenda Mkuu hutajutia nina vishamba huko vinanijazi neema kila mwaka. Njaa huko ni kitendawili.
Kilimo si bettingKwenye kuanza kilimo kuna kuwa na matumaini mengi makubwa mkuu. Matokeo ndio jibu sahihi la mafanikio au changamoto. Kila la kheri katika uwekezaji wako mpya