Sikuamini nilivyofika Njombe, kumbe Tanzania hii kuna sehemu kama hizi?

Hahaha...mkuu mimi no msomaji Tu...sina uwezo wa kufanya hayo Kwa sasa!!! Iam a jobless graduate.
Jobless graduate nimesikitika sana kusikia ivo lkn usiseme ww ni jobless Ina maana hakuna chochote unachofanya? Kama kipo sema tukupe mawazo Ndugu
 
Hata Wazungu walipokuja Africa wakajionea kisha wakarejea Makwao ulaya na wakaanza kujazana kwa wingi na kutawala... Mkuu fanya kama Wilaimson Diamond alipiga kwanza kimya kimya hadi walipoona why anatajirika sana ndio nao wakaanza kummendea kwa ukaribu
 
Nchi yetu imebarikiwa sana, ni sisi wenyewe kujipanga vizuri na kuwa na sera rafiki kusaidia kilimo. Mkuu website yako inafanya kazi? Mbona haipatikani?
 
Nchi yetu imebarikiwa sana, ni sisi wenyewe kujipanga vizuri na kuwa na sera rafiki kusaidia kilimo. Mkuu website yako inafanya kazi? Mbona haipatikani?
Inafanya mkuu you can google Green agriculture company
 
Vijana wa sasa wanaona kulima ni dhambi sana wanaenda mbali kwa kudhani kulima ni kujitafutia umasikini kwa nguvu. Kwangu mm hapana

Mwezi wa nane ntatembelea mufindi vijini maeneo ya kama mapanda kuangalia fursa.

may nilikuatana na wamama haa dar wananunua njegere kwa ingi hizo areas!nilichoka mm !zaman hizo pande mtu akilima njegere ni kaeneo kadogo lakin sasa hv kumeendelea mnooo !yaan wanajaza malori wanazituma dar!fursa kibao..sema tumelala sana kufind masoko.... njegere ukiweza kupeleka 'comoro' utatusua tu!
 
DAH NILIKUWA HATA SIJUI HAYA MAMBO
 
Kilimo ni kizuri sana, vjana waamke tu wataziona fursa.
 
Kilimo ni starting point tu ya kuelekea mafanikio eg kutafutia mtaji,but huwez kumantain utajir kwa kutegemea mazao ya shambani, hyo haipo, labda uadvance kwenda kwenye processing goods, na hapo ndo kuna mauza uza, msidanganye vijana wakati nyie mnatembelea ma vx ya ofisini maghorofani, wambieni waje pori huku waone ndo watambue ya kuwa kwa nn babu zao walikufa maskini
 
Vijana wa sasa wanaona kulima ni dhambi sana wanaenda mbali kwa kudhani kulima ni kujitafutia umasikini kwa nguvu. Kwangu mm hapana

Mwezi wa nane ntatembelea mufindi vijini maeneo ya kama mapanda kuangalia fursa.

Ulifanikiwa kwenda mufindi mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…