The Icebreaker
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 22,278
- 65,817
Hata wakiitwa tu Black hua wanatokwa povu kubaguliwa.Sio kwamba wakiitwa nyani ndio wanazingua
Mzungu wa DabagaLakini si mzungu?
Tàrehe 13.08.2022 kuanzia majira ya saa 3 usiku Kwa saa za Afrika mashariki, baada ya Mechi ya Ngao ya Jamii Kati ya Yanga na Simba, habari ya pili Kwa ukubwa baada ya habari ya matokeo ni underperformance ya mchezaji wa Simba raia wa Serbia Dejan Georgijevic.
Kumekuwa na maneno, maandishi na picha zilizofinyangwa zikionyesha si lolote si chochote. Sina shida na mashabiki wa kawaida àmbao utani na kuzodoana ni sehemu sahihi na Tamu kunogesha hitimisho la mchezo wa soka. Ninachopinga ni kitendo cha kumshambulia kibaguzi (mzunguuu) kunakofanywa na baadhi ya waandishi wa Habari na wachambuzi rasmi wa soka.
Ukiangalia kwenye kurasa za kina Shafii Dauda, Priva, Oscar, Gift nk utakutana na picha au maneno ya kejeli yakikosoa si performance yake mbovu tu bali yakiunganisha na race yake (Mzungu). Kitendo hiki kingefangika Uingereza Kwa Mbwana Samata (Aston Villa) kipindi kile waandishi na wachambuzi wa kitanzania wangetoa mapovu kulaani ubaguzi na kushambulia wazungu Kwa maneno kedekede.
Jambo hili kama linhefanywa na mashabiki wa kawaida ningeona poa tu lakini kufanywa na watu rasmi katika tasnia ya habari tena Kwa namna kubwa ya kejeli ya kibaguzi si maudhui Bora kiuandishi.
Mwandishi mmoja amefikia Kuweka video kwenye page yake ikimchambua Dejan kama "Mzungu wa Chalinze", mwingine kaweka video ilimwongelewa kama mwanaukoo wa Kocha wa Simba Zoran Maki ilimradi tu kudhalilisha Uzungu wake uonekane si Uzungu halisi ni Uzungupori.
Hii si Sawa ndugu waandishi na wachambuzi. Si Sawa kwenu kuwa Wazodoaji badala ya wachambuzi. Tunahitaji ukosoaji, lakini usihisishe udhalilishaji toka Kwa watu maalum kama nyie.
View attachment 2324091
Ndio maana kasa Hana tatizo na washabiki wa kawaida ila Hawa wanaojiita wachambuziNikusaidie kidogo mleta uzi. Utani wa Simba na Yanga siku zote ni kufurahia mabaya ya mwenzake. Kwa hiyo ukiuchukulia "serious" ndugu yangu utakufa mapema sana. Siku chahce zilizopata Bigirimana alipata mashambulizi tena mabaya zaidi kuliko haya ya anayopata Dejan.
Kikubwa kinachotakiwa kwa Dejan ni kukomaa na kuwaziba midomo wale wote wanaomzodoa kwa kufanya kazi yake vizuri uwanjani. Ni kazi yake ni rahisi sana kuliko wachezaji wananocheza kiungo, beki au golikipa. Yeye kuwaziba midomo watu ni kufunga tu kila mechi basi. Mayele alikumbana na kadhia hiyo mwanzoni anaanza kucheza Yanga kidogo apotee kabisa lakini sasa amekuwa shujaa wa Yanga na nuksi kwa mashabiki wa Simba.
Ila kwa haraka nikimtazama Dejan kwenye mikimbio yake, namna anavyojipanga, anavyotuliza mpira na utulivu wake sio mchezaji mbaya kihivyo. Ila ninachokiona ni kocha kutaka kumuingiza kwenye mfumo wa Simba haraka na huku viungo wa Simba hawajajua namna gani ya kumchezesha. Na kosa kubwa la kocha wa Simba ni kutaka kumpoteza Phiri ambaye ameshakaa na wenzake zaidi ya mwezi mzima ili huyu mshambuliaji aliyemleta ambaye ana siku mbili awe mfalme pale Simba. Na hilo limetokea hata kwa Onyango dhidi ya Outara.
Ni mtizamo tu.
Natamani dhihaka hizi afanyiwe aliyemsajili maana ni tapeli mkubwa.Tàrehe 13.08.2022 kuanzia majira ya saa 3 usiku Kwa saa za Afrika mashariki, baada ya Mechi ya Ngao ya Jamii Kati ya Yanga na Simba, habari ya pili Kwa ukubwa baada ya habari ya matokeo ni underperformance ya mchezaji wa Simba raia wa Serbia Dejan Georgijevic.
Kumekuwa na maneno, maandishi na picha zilizofinyangwa zikionyesha si lolote si chochote. Sina shida na mashabiki wa kawaida àmbao utani na kuzodoana ni sehemu sahihi na Tamu kunogesha hitimisho la mchezo wa soka. Ninachopinga ni kitendo cha kumshambulia kibaguzi (mzunguuu) kunakofanywa na baadhi ya waandishi wa Habari na wachambuzi rasmi wa soka.
Ukiangalia kwenye kurasa za kina Shafii Dauda, Priva, Oscar, Gift nk utakutana na picha au maneno ya kejeli yakikosoa si performance yake mbovu tu bali yakiunganisha na race yake (Mzungu). Kitendo hiki kingefangika Uingereza Kwa Mbwana Samata (Aston Villa) kipindi kile waandishi na wachambuzi wa kitanzania wangetoa mapovu kulaani ubaguzi na kushambulia wazungu Kwa maneno kedekede.
Jambo hili kama linhefanywa na mashabiki wa kawaida ningeona poa tu lakini kufanywa na watu rasmi katika tasnia ya habari tena Kwa namna kubwa ya kejeli ya kibaguzi si maudhui Bora kiuandishi.
Mwandishi mmoja amefikia Kuweka video kwenye page yake ikimchambua Dejan kama "Mzungu wa Chalinze", mwingine kaweka video ilimwongelewa kama mwanaukoo wa Kocha wa Simba Zoran Maki ilimradi tu kudhalilisha Uzungu wake uonekane si Uzungu halisi ni Uzungupori.
Hii si Sawa ndugu waandishi na wachambuzi. Si Sawa kwenu kuwa Wazodoaji badala ya wachambuzi. Tunahitaji ukosoaji, lakini usihisishe udhalilishaji toka Kwa watu maalum kama nyie.
View attachment 2324091
Simba sio timu ya majaribioMimi ni mshabiki wa simba, ila napenda tu kusema "lefa mzungu, leta mzungu, anajua huyo, anafunga huyo" [emoji23]
Dejan ana viashiria vya kuwa mshambuliaji mzuri, ni kazi ya mwalimu kumuweka sawa kisaikolojia, kumjengea kujiamini ili aoneshe alichonacho mguuni, vinginevyo atafeli, na kufeli kwa mchezaji kwenye timu moja si ajabu, wameshafeli kina torres, kina sanchez, di maria tena hao WORLD CLASS PLAYERS
Angekuwa wa majaribio wasingempa mkataba, kocha itakuwa alimuona anamfaa ndio akampitisha, kufaulu ama kufeli hayo no mambo ya soka.Simba sio timu ya majaribio
Naunga mkono hoja. Ubaguzi wa rangi haukubaliki! Na haukubaliki zaidi kwa mtu asiye na hatia yoyote ile kama huyo Dejan.Tàrehe 13.08.2022 kuanzia majira ya saa 3 usiku Kwa saa za Afrika mashariki, baada ya Mechi ya Ngao ya Jamii Kati ya Yanga na Simba, habari ya pili Kwa ukubwa baada ya habari ya matokeo ni underperformance ya mchezaji wa Simba raia wa Serbia Dejan Georgijevic.
Kumekuwa na maneno, maandishi na picha zilizofinyangwa zikionyesha si lolote si chochote. Sina shida na mashabiki wa kawaida àmbao utani na kuzodoana ni sehemu sahihi na Tamu kunogesha hitimisho la mchezo wa soka. Ninachopinga ni kitendo cha kumshambulia kibaguzi (mzunguuu) kunakofanywa na baadhi ya waandishi wa Habari na wachambuzi rasmi wa soka.
Ukiangalia kwenye kurasa za kina Shafii Dauda, Priva, Oscar, Gift nk utakutana na picha au maneno ya kejeli yakikosoa si performance yake mbovu tu bali yakiunganisha na race yake (Mzungu). Kitendo hiki kingefangika Uingereza Kwa Mbwana Samata (Aston Villa) kipindi kile waandishi na wachambuzi wa kitanzania wangetoa mapovu kulaani ubaguzi na kushambulia wazungu Kwa maneno kedekede.
Jambo hili kama linhefanywa na mashabiki wa kawaida ningeona poa tu lakini kufanywa na watu rasmi katika tasnia ya habari tena Kwa namna kubwa ya kejeli ya kibaguzi si maudhui Bora kiuandishi.
Mwandishi mmoja amefikia Kuweka video kwenye page yake ikimchambua Dejan kama "Mzungu wa Chalinze", mwingine kaweka video ilimwongelewa kama mwanaukoo wa Kocha wa Simba Zoran Maki ilimradi tu kudhalilisha Uzungu wake uonekane si Uzungu halisi ni Uzungupori.
Hii si Sawa ndugu waandishi na wachambuzi. Si Sawa kwenu kuwa Wazodoaji badala ya wachambuzi. Tunahitaji ukosoaji, lakini usihisishe udhalilishaji toka Kwa watu maalum kama nyie.
View attachment 2324091
mugabe aliwanyang'anya mashamba wazungu waafrica wote hawakulaani ila waliunga mkono ila mmarekani mweusi alipouwawa na polisi africa nzima ililaani! leo hii huyu mzungu kila kona anakejeriwa ila samata akifanyiwa hivyo utasikia magazeti yanavyouza habari za kulaani!!!!!Kama kuna watu wabaguzi, basi waafrika watakuwa wanaongoza halafu hawaoni hilo kama ni tatizo.
Sio haki wala sahihi kumkosoa kwa kukejeli asili ya rangi ya ngozi yake.