Sikufichi By Gheto Boys

Sikufichi By Gheto Boys

ukwaju_wa_ kitambo

Senior Member
Joined
Sep 15, 2024
Posts
150
Reaction score
173
CREW YA "GHETO BOYS" KUTOKA MJI KASORO BAHARI..

Wasanii waliounda kundi la ghetto boys...

Ok Ghebo boys ilikuwa timu 1 Afande selle
2. kasa boy
3. juma mjivuni
4. mdogo Dito
5. bwana samu &
Mc koba
Akaongezeka wa 6 Ballet

ENJOY.... VERSE YA MSANII "KASA BOY"
ngoma inaitwa "sikufichi"
Production nzima ilifanyika Bongo records , kwa producer P funk majani..

"Kasa Boy"

Sikufichi brother kaka maisha hayana haraka/ kama ridhiki yako iko basi utapata/ hizo tamaa zimepoza wengi wanajuta/ kwa mateso wanayopata utadhani wamedata/ aah... Sikufichi ustadhi leo nakuweka wazi/hiyo tabia yako mbaya wala haipendez/ ni shai of coz! Acha wake za watu/ mwema machoni mwetu umejaa roho ya kutu/ iko kipato chako sio dhamana yako/ wanyanyaza wezako kila kona uendako/ sisi tunashangaa unakatisha tamaa/ wasanii wachaga tunajitoa muhaga/ badala ya kutupa moyo wewe unatusimaga/ lakini hamna noma! Sisi tuta komaa japo bara limechafuka/ gheto boys tutavuka aah p funk sababisha aah kasa boy wakirisha..

( Kasa boy - ghetto boys - kufichi)

Bongo Record...

🔥🔥🔥🔥🔥

#funguka..

Ebu mtag mtu yoyote anayezingua street kutokana na mwenendo wake wa maisha kuwa kero kwa watu wengine..
#sikufichi..

Ngoma zingine za Crew hii ya "Gheto boys" ni

1. Hatuna Ajira & afande sele
2. Yote bure ft professor jay..

💥💥💥💥💥💥💥💥

Ukwaju wa kitambo
0767 542 202
1726455636631.jpg
 
Back
Top Bottom