Pre GE2025 Sikuizi CCM wanasimamisha mgombe ili mradi tu waonekane nao wanamgombea tutaenda kujenga taifa bovu tutaiumiza nchi

Pre GE2025 Sikuizi CCM wanasimamisha mgombe ili mradi tu waonekane nao wanamgombea tutaenda kujenga taifa bovu tutaiumiza nchi

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Genius Man

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2024
Posts
1,012
Reaction score
2,317
CCM wasisimamishe mgombe heti kwa sababu tu ni raisi au mwenyekiti bali yule atakea hakikisha watanzania wote wanapata huduma zote muhimu bila ubaguzi sio unakuta mtu anakatiza huduma kwa watanzania wenzake ili wafe njaa, tusisimamishe kiongozi kama huyu sisi hatutaki raisi ilimradi tu tuonekane na sisi tuna raisi bali tunataka raisi bora anaye tujali.

Tusisimamishe mgombea atakayeenda kugawa wanyama wote na rasilimali zetu kwa wageni kisha anatwambia ni maendeleo, sisi tuliondoka tukapigana vita tukachukua rasilimali zetu kwa wakoloni tukasema ni maendeleo leo hii mtu anatupokonya anawarudishia wageni anasema ni maendeleo hapana hakuna maendeleo kama haya.

Sikuizi watu wanasimamisha mgombea ilimradi tu na wao wana mgombea,

CCM wasisimamishe mgombe kama huyu asiye na muelekeo unakuta mtu yupo yupo tu, hakutenga nafasi ya uraisi kwaajili ya burudani tukasimamishe mgombea sahihi mwenye sera na maono atakaye linda rasilinali zetu, na kuhakikisha watanzania wote wanakuwa sehemu salama hata wale waliotekwa tunataka warudi nyumbani.
 
Uandishi wako mbovu unafanya hoja yako isieleweke


Uandishi hauendani na jina lako 'genius man '
 
Uandishi wako mbovu unafanya hoja yako isieleweke


Uandishi hauendani na jina lako 'genius man '
Wewe unayeandika mstari mmoja alafu unaacha space kubwa unaruka ruka kama mtoto wa chekechea anayejifunza kuandika ndio unanihoji mimi.?
 
Back
Top Bottom