Sikujua huu mziki ni kwa kina mama

Baba pia ni muhimu. Mimi nilijua huu ni mziki kwa ajili ya lovers, 'god must have spent little more time on you?' nilidhani ina maana binti kaumbika. Sasa video imekuwa tofauti. Asante Nyumba Kubwa hawa wanamuziki nawazimia sana. Si hawa kina sijui JZee hamna kitu, kufoka tu. Afu ilo jina na picha tofauti. Afu nina hasira sana na Manyumba kubwa!

Nani kama baba?
 
A little more time with you sio eeeee gud i like it
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…