Ze Blessed
Senior Member
- Aug 12, 2012
- 123
- 13
serious issue? mbona hueleweki?
ina maana mitihani ya form 6 ilikuwa isifanyike 2013 au ni nini unataka kutujulisha juu ya hiyo mitihani?sieleweki nini?
ina maana mitihani ya form 6 ilikuwa isifanyike 2013 au ni nini unataka kutujulisha juu ya hiyo mitihani?
nimezipata hizo taarifa na nasikia kulikuwa kuna hadi bandiko katika tovuti ya wizara ya Elimu ila badae lilitolewa
waraka umetolewa na wizara na utaanza kutumika rasmi january 2013
waraka umetolewa na wizara na utaanza kutumika rasmi january 2013
jamani kumbe kufanyika kwa mitihani ya kidato cha 6 mwaka 2013 mwezi wa 5, ni serious issue. Sijajua ni nini sababu hasa ya kufanya hivi? Kwa anaefahamu atufahamishe na je kuna umuhimu wowote? Source: Mdogo wangu kutoka usagara tanga.
nadhani ukienda kuuliza baraza la mitihani na wizara ya elimu watakuwa na majibu mazuri sana kwanii hii issue haiko kwa paublic babdo sasa sijui mnazipata wapi maaana daaaaaaaah
kuna mdogo wangu yupo usagara wamepewa hzi taarfa na mkuu wao wa shule.