Duuu! 1994 mi nipo chekechea wenzetu mshaiona dunia!!Kwa mara ya kwanza niliona 1994 sikuwa na akili kivileeee.
1998 niliwafaidi kina Paulo maldin na baba yake.
Deschamps, Thierry Henry djokaeerf karembeu hii timu hasa hichi kikosi baba yangu alikuwa shabiki yaani basi tu.
Mpira ulichezwa asubuhi.Nakumbuka 2002 tulikuwa tunasikiliza kwenye redio ππ wengine hapa hata hatielewi tunafuata mkumbo tu
πππ Acha kutufunga kambaKwa mara ya kwanza niliona 1994 sikuwa na akili kivileeee.
1998 niliwafaidi kina Paulo maldin na baba yake.
Deschamps, Thierry Henry djokaeerf karembeu hii timu hasa hichi kikosi baba yangu alikuwa shabiki yaani basi tu.
Oya enzi hizo ulikuwepo kweli mjukuu wangu? Au ulihadithiwa?2002 alishinda Brazil mkuu
Ile Brazil ya kina Ronaldo na ronaldinho
Daah 2002 nisingekuwepo kila siku ningekuwa wakulia tu kwanini nimekuwa mtoto wa buku 2 ila Alhamdulillah πOya enzi hizo ulikuwepo kweli mjukuu wangu? Au ulihadithiwa?
AlifungwaMhh! Labda kumbu kumbu zimenipotea , ila kwa vyovyote fainali Ujerumani walifika
Ukweli kabisa!!!! Niliangalia kupitia DStv nadhani.πππ Acha kutufunga kamba
Hongera sana aisee! Kazaliwa kabla ya mwaka 2000 ni raha sana.Daah 2002 nisingekuwepo kila siku ningekuwa wakulia tu kwanini nimekuwa mtoto wa buku 2 ila Alhamdulillah π