Ni mawazo yako.Hakika umetumia AI
Wamefanya vizuri! Uliwaambia au walijiamlia mambo tu?
Hapana sio wa kishua,,, mazingira nadhani yaliruhusuBasi we wa kishua, 94 mlikuwa na TV?
Kumbe wewe mhenga mwenzetu nilijuaga JenziiπSidanganyi kabisa.
Marahaba. Za huko Tanzania?Sijambo shikamooπ€£
YEah mazingira pia yanachangia sisi tuliokulia bush Tv tumeanza kuziona miaka ya afmbiliπH
Hapana sio wa kishua,,, mazingira nadhani yaliruhusu
Mi muhenga best karibu chamaniKumbe wewe mhenga mwenzetu nilijuaga Jenziiπ
Mimi nipo siku zoteMi muhenga best karibu chamani
πππYEah mazingira pia yanachangia sisi tuliokulia bush Tv tumeanza kuziona miaka ya afmbiliπ
Nakumbuka zile stickers za big G (jojo) za wachezaji wa Brazil tulitamba nazo sana kwa kuzibandika kwenye madaftari, wengine maghetoni, hahahahha!2002 alishinda Brazil mkuu
Ile Brazil ya kina Ronaldo na ronaldinho
Nasubiri sioni kitu!Hawataki nitambe π nakutumia pm CHETI
2010 babuKatika michuano ambayo sipo interested nayo siku hizi ni world cup, mara ya mwisho kufuatilia ile yenyewe ni 2012, baada ya hapo hata sina mzuqa.
EPL na UCL kwa sasa ndio nafuatlia, napo sianglii, nimepoteza interest kuangalia mpira. Kweli uzee ni dawa!
π€£π€£ Kabisaa. Nakumbuka wakati niko shule ya msingi kuna huyo baba alikuwa anatuwekea siku za sikukuu kiingilio 50 kijiji kizima mnajazana humo. Usiku wanafunzi hawaruhusiwi ukijitoa ufahamu ukaingia usiku shuleni kinakulambaπππ
Nasikia bush mlikuwaga mnaletewa movie zile za ukimwi,,, ikifika saa tatu watoto wanafukuzwa mnaanza kuwekewa mauno ya yondo sister.
Na yale madaftari ya kina kaka unayakumbuka?Nakumbuka zile sticker za big G (jojo) za wachezaji wa Brazil tulitamba nazo sana kwa kuzibandika kwenye madaftari, wengine maghetoni, hahahahha!
Ronaldo
Ronaldinho
Roberto Carlos
Dida
Gilberto
Asante mjukuu, kweli uzee umeingia sasa...2010 babu
Kaka Footballer?Na yale madaftari ya kina kaka unayakumbuka?
Ndio mkuu yalitamba sanaKaka Footballer?