Sikujua kama kombe la dunia linaanza leo!

Hata ivo 98 juzi tu,
 
🀣🀣 Kabisaa. Nakumbuka wakati niko shule ya msingi kuna huyo baba alikuwa anatuwekea siku za sikukuu kiingilio 50 kijiji kizima mnajazana humo. Usiku wanafunzi hawaruhusiwi ukijitoa ufahamu ukaingia usiku shuleni kinakulamba
Unakumbuka movie alicheza silvesta Stallone na Sharon stone.

Kile kipande ambacho kina romance na kukulana?? Eti kilikatwa baada ya yondo sista ndo kinawekwa hicho kipande yaani ndo inakuwa movie ya pilau hiyo ikifatiwa na ule wimbo Mr lover man wa shaba ranks
 
Hapana sijawahi kuiona hiyo movie, au pengine nimesahau
 
Mkuu Pendaelli hukujua ratiba za Kombe la Dunia kwakuwa siyo mpenzi wa mchezo huo, sisi wenye uraibu wa soka tumeenda nao sambamba tangu zilivyomalizika fainali za Qatar 2022.
Yaani mimi na mpira vitu viwili tofauti , kila nikilazimisha wapi.
 
🀣🀣 Kabisaa. Nakumbuka wakati niko shule ya msingi kuna huyo baba alikuwa anatuwekea siku za sikukuu kiingilio 50 kijiji kizima mnajazana humo. Usiku wanafunzi hawaruhusiwi ukijitoa ufahamu ukaingia usiku shuleni kinakulamba
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kuandika majina ya wanao enda kuangalia Video usiku.

Movie za kina Rambo, Jet Lee. Van Damme, Anord shwazneger. Bluce Lee, etc.
Ila Bush daah nimekumbuka mbali sana, watu wanachapwa stick asubuhi, usiku banda la video km kawaa.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hatarii sanaaa.
 
Mimi nimejua j3 ya juzi.. majukumu kwa upande wangu
 
Hiyo movie nimesahau,, wachezaji ni hao nilowataja.
Ukipata muda iangalie ndio utaelewa nilichoandika
Movie ya Sylvester Stallone, naipenda Ile Blood. Kipande anatoka Vietnam yuko km msukule ananuka kinomaa, palee watu njiani wanasema hili jamaa linanuka km mnyama, na kipande ananyolewa nywele kule ndani baada ya kukamatwa, alitoa gwala kwa jamaa hadi screen ilizima alooo.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
🀣🀣🀣 Ila walimu zamani walikuwa na kazi sana, yote hiyo kumfuatilia mtoto dah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…