Marire
JF-Expert Member
- May 1, 2012
- 12,333
- 5,292
Heshima kwenu.
natumia simu hivyo nitaandika kifupi.
_kumbe kuku wa kienyeji anaweza kutamia mara saba kwa mbinu ya akishatotolesha unamyanganya vifaranga na unavitunza kama wale wa broila then kuku atapumzika siku 14 na ataanza kutaga tena kwa siku 15 then anaanza kutamia tena.
_kwa hivyo ukiwatamia kuku kumi kwa mara moja mayai 10 kila mmoja ina maana utakuwa na vifaranga 100 ndani ya siku 21 na hao mia wakikaa miezi sita wataanza kutaga.
_kuna utajiri wa kutisha kwenye kuku wa kienyeji endapo utafuata miongozo ya wataalam na dawa kwa ufasaha.
haya mafunzo nimeyapata kwa masaada wa mkuu. [MENTION=111377]Traitor B niliyeelekezwa kwake na. Mama Joe

Last edited by a moderator: