Sikujua kama ni under 18.

Tafadhali sana achana na katoto ka watu! Hebu fikiria kama ni mdogo wako, mtoto wa dadako/kakako ungeona ni sawa kujiingiza katika ngono akiwa na umri mdogo hivyo? Baada tu ya kukutajia umri wake ulitakiwa kumtimua haraka arudi nyumbani. Huyo hata akili ya kujikinga na maradhi hana. Saidia kuelimisha jamii. Nawahurumia wazazi wake maskini wako tu hawajui linaloendelea kwa binti yao. Tena huenda mzazi yupo hapa JF an comment!
 
nyie vijana nyie.....mnapenda ndoto sana nyie.

14yrs unaweza kufanya nae conversation?? Labda na wewe ni 16.

Hovyo kabisa.

sa mtu ana mwili mkubwa ka tembo,me ningejuaje?
 
sa mtu ana mwili mkubwa ka tembo,me ningejuaje?
Anachohoji Bigirita hapa ni kwamba ulishindwa kutambua kuwa hajamature thru maongezi tu? Au maongezi yalikuwa yale ya mtoto mzuri kweli wewe,!
 
dush.. malezi ya watoto wa kike kazi kweli, tatizo hata senetor akimwacha kama hicho kitoto kina nyege kuna wendawazimu(mafataki) watakila tu! nawaonea huruma sana dada zangu
 
nipoona under 18 nikajua labda ni 17 ivi. kumbe 14! ila vitoto vya siku izi haviogopi, kanaweza kakakutoa machozi mtu mzima, sijui huwa vinajifunzia wapi!!!

Mwanamke hana rika! Uamuzi unao mwenyewe! Tafakari! Haki Elimu!!
 
sa mtu ana mwili mkubwa ka tembo,me ningejuaje?

mkuu acha kutumia umbo la huyo dogo kuharalisha unachomfanyia....
achana nae, tafuta mtu mzima mwenzako ufanye nae kazi......
 
..we nawe ka hujijui vile?..ye ana 14 na we una 12,so tatizo nini hujitambui kuwawote mko under15? ko kama ni MATUSI endeleeni kufanya kwani wote mwahitaji kuongeza ujuzi kwenye fani hii ngumu ya MAHUSIANO na KUKANDAMIZANA midudu,bt we una KADUDU ko ngoja kakomae kwanza,shabash ashaktifuru..
 

duuh haujaona hata aibu kuandika hii kitu humu........vitoto vya siku hizi tusaidiane kulea nyie wanaume waoneni kama watoto/wadogo zenu......ukiendelea naona unaitaka jela maisha magumu mtaani??
 
Wahenga walisema mtoto akililia wembe mpe. hata usipokagonga wewe katagongwa tu na wengine.Na si ajabu kameanza kugongwa kakiwa darasa la tatu kwa hiyo wewe unajishaua tu hapo kumbe kenzio ni kakongwe kwenye fani kama BI KIDUDE.
 

Logically ts logical..😛oa)
 
Mkuu naona jela inakuita. Miaka 14?!! Au wewe ni mtoto mwenzie?
 
:hatari:Ndugu, mpotezee kabisa!

Waweza kusema ukitembea au ukifanya mapenzi au ukijamiana na msichana mwenye miaka pungufu na 18 kisheria unakuwa umebaka hii haijalishi alikubali, alijileta au alikutongoza mwenyewe adhabu yake ni 30 jela. Pia sheria nyingine za wizara ya elimu mafunzo na ufundi zinasema ukitembea au ukifanya mapenzi au ukijamiana na msichana mwanafunzi (darasa la kwanza hadi kidato cha sita) unakuwa umebaka.

KUBAKA: Kubaka ni kitendo cha kumuingilia mwanamke/msichana yeyote pasipo ridhaa yake au kwa ridhaa yake ila ni chini ya miaka 18 au mwanafunzi. Kwa maana hiyo mwanaume/mvulana hawezi kubakwa kisheria. "...........................Kama walivyosema wengine ACHA KABISA ............................":eyebrows:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…