Hekima ni Mwalimu
JF-Expert Member
- Jan 30, 2015
- 472
- 815
Yeap ndio ujue kwamba life is brutal but still fairSikujua
Kumbe Ukiwa mkubwa siyo kila simu niyakupokea
Ukiwa mkubwa siyo kila sms niyakujibu
Ukiwa mkubwa kumbe shida zako ni zako.
Ukiwa mkubwa unajua kuwa rafiki yako wa leo ndiyo adui yako wa kesho.
Ukiwa mkubwa kumbe maisha ndiyo yanaanza
Ukiwa mkubwa msaada wako ni Mungu na hekima kama umejariwa.
Ukiwa mkubwa matatizo ya familia yako kumbe yanakuwa yako.
Ukiwa mkubwa kumbe ukiwa mwema sana watu wanakuona mdhaifu na watautumia wema wako vibaya.
Ukiwa mkubwa ndiyo unajua kuwa
Kazini hakuna marafiki bali kuna wanafiki.
NIKITU GANI UMEJUA NA WEWE ULIVYO KUWA MKUBWA ?.
Hekima ni mwalimuSikujua

Ndiyo hekima ana jieleza mwenyewe.Hekima ni mwalimu
HahahahaNa hapo Bado hujakuwa mkubwa sawa sawa.
Ukiwa mkubwa kutakuwa na watu wa kupokea simu zako wewe ni kutoa maelekezo tu
Ikifikia pahala ukabali jilo jina ndio ukubwa huoNdiyo hekima ana jieleza mwenyewe.
HahahahaIkifikia pahala ukabali jilo jina ndio ukubwa huo
πππππBado hujaanza kutokupokea simu za wazazi wako π
Utajua tu ukiwa mkubwa ni swala la muda tu.Mimi Little boy sijajua mambo ya wakubwa...
Kweli kabisaNdio ukubwa huo
Duh hakika mkuu time never lie!!Utajua tu ukiwa mkubwa ni swala la muda tu.
Duuh hii niUkishakuwa mkubwa ndo utajua ama HASIRA AU REHMA za MUNGU zinakusu wewe π