Sikujua kumbe ukiwa mkubwa ni hivi!

Ukiwa mkubwa phonebook yako itakuwa na namba
1. Fundi gereji mkoroshini
2. Daktari bingwa wa pressure na sukari
3. Fundi bomba masawe
4. Mkuu wa shule kwa Rhoda
5. Jirani baba Wity
6. Mchungaji Ungani
 
Ukubwa jalala
Hujawahi kusikia hiyo kauli?
 
Ukiwa mkubwa phonebook yako itakuwa na namba
1. Fundi gereji mkoroshini
2. Daktari bingwa wa pressure na sukari
3. Fundi bomba masawe
4. Mkuu wa shule kwa Rhoda
5. Jirani baba Wity
6. Mchungaji Ungani
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hakuna reward ya kuwa mtu mwema
 
Nilivoambiwa β€œKUA UYAONE” nilidhani ni mavuzi πŸ€¦πŸΎβ€β™‚οΈπŸ˜
 
Chai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…