Sikujua kupendeza ni uraibu, Anatumia laki 4 kwenye mavazi kila mwezi kwenye mshahara wa laki 9

round kick

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2025
Posts
345
Reaction score
1,145
Ni kijana mwenye 25 kabahatika kupata ajira sehemu flani yenye mshahara huo wa laki 9

Kijana anapendeza kweli, ni anajua kuyapangilia mavazi, ni sifa inayomtambulisha zaidihasa kwa jina la kifaransa analopenda kujiita.

Katika mshahara wake wa laki 9 hutenga laki 4 kwajili ya mavazi, si jambo la kawaida ila ndipo nilipogundua mavazi yanaweza kuwa uraibu
 
Acha apendeze unataka mfubae wote huo ni mda wake wa ujana, mimi mwenyewe napenda code.
 
Jina la kifaransa itakuwa anaitwa Papaa au Mopao.. Acha avae bibila imeagiza usikubali mtu audharau ujana wako...
 
His, this a topic to 🤣chew?? to nourish our brains what a heck is these?
 
Ni kijana mwenye 25 kabahatika kupata ajira sehemu flani yenye mshahara huo wa laki 9

Kijana anapendeza kweli, ni anajua kuyapangilia mavazi, ni sifa inayomtambulisha zaidihasa kwa jina la kifaransa analopenda kujiita.

Katika mshahara wake wa laki 9 hutenga laki 4 kwajili ya mavazi, si jambo la kawaida ila ndipo nilipogundua mavazi yanaweza kuwa uraibu
Kila mtu aishi maisha yk..hakikisha unafanya vitu vinavyokupa furaha..
 
Ni kijana mwenye 25 kabahatika kupata ajira sehemu flani yenye mshahara huo wa laki 9

Kijana anapendeza kweli, ni anajua kuyapangilia mavazi, ni sifa inayomtambulisha zaidihasa kwa jina la kifaransa analopenda kujiita.

Katika mshahara wake wa laki 9 hutenga laki 4 kwajili ya mavazi, si jambo la kawaida ila ndipo nilipogundua mavazi yanaweza kuwa uraibu
Mavazi ya mwezi uliopita anauza?
 
Haha! apatikane mtu amfumbue kidogo hayo mambo anatakiwa ayafanye akishajipata vyema!, na hapo usikute anayafanya hayo kwa influence ya wadada!
 
Mimi mwenyewe napenda sana kuwaka yaan kutupia sema maisha tu ndo bado sijayapatia
Mimi enzi za ujana wangu nilikuwa natumia nusu ya mshahara wangu kwenye mavazi hasa suruali za kushona, viatu (moccasin), shati nzuri na tai. Niliwahi kuwa na tai zaidi ya mia kipindi flani.

Sasa hivi nna familia. Watoto private schools na chuo bila mkopo. Navaa kaa mpakua choo! Ahahahahaha!!!
 
Angegida biare ungesema, angebetika ungesema pia, mtu chake haswaa jasho lake halali.....
 
Mimi enzi za ujana wangu nilikuwa natumia nusu ya mshahara wangu kwenye mavazi hasa suruali za kushona, viatu (moccasin), shati nzuri na tai. Niliwahi kuwa na tai zaidi ya mia kipindi flani.

Sasa hivi nna familia. Watoto private schools na chuo bila mkopo. Navaa kaa mpakua choo! Ahahahahaha!!!
Pole sana mtumish usife moyo

Somesha watoto usijal kabisa
 
Mimi enzi za ujana wangu nilikuwa natumia nusu ya mshahara wangu kwenye mavazi hasa suruali za kushona, viatu (moccasin), shati nzuri na tai. Niliwahi kuwa na tai zaidi ya mia kipindi flani.

Sasa hivi nna familia. Watoto private schools na chuo bila mkopo. Navaa kaa mpakua choo! Ahahahahaha!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Focused man vs ragtag man.Ukishajua matabaka haya ya watu hutasumbuka hata kidogo.Kijana hajui kwamba maisha yetu ni kama tunaelea majini na hivyo mtikisiko wa maji lazima tutikisike pia.Sasa basi uishipo ni vema kujishikiza katika tawi ama shina la mti ili dhoruba litokeapo lisikusombe.Dhoruba kama kuachishwa kazi,kutengenezewa mazingira magumu yasiyovumilika kazini nk.Kijana huyu anayajua haya?Aliyenaye karibu amfundishe shule ya kufikiri iitwayo 'pragmatism' ili ajitambue.
 
Ni kijana mwenye 25 kabahatika kupata ajira sehemu flani yenye mshahara huo wa laki 9

Kijana anapendeza kweli, ni anajua kuyapangilia mavazi, ni sifa inayomtambulisha zaidihasa kwa jina la kifaransa analopenda kujiita.

Katika mshahara wake wa laki 9 hutenga laki 4 kwajili ya mavazi, si jambo la kawaida ila ndipo nilipogundua mavazi yanaweza kuwa uraibu
Ana undugu na Nyoshi El Sadat? Au ana asili ya Kinshasa (DRC)? Maana hao jamaa wako radhi walale chini ila siyo kushindwa kuvaa vizuri.
 
Back
Top Bottom