Sikukuu hii tunakula nyama au vyuma vimekaza?

Sikukuu hii tunakula nyama au vyuma vimekaza?

Wakulonga

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2012
Posts
762
Reaction score
771
Habari wana JF! Naomba kuuliza ndugu zangu wala Mbuzi katoliki hivi na wale ambayo kula nyama mpaka sikukuu watajifanya hawali nyama au vyuma vimekaza toka kitambo?
 
dadeki leo nimewahi seat mapemaa mkuu ijumaa kuu huwa hatuli nyama ili kutunza pesa na kujiandaa kula nyama siku ya pasaka...nyama lazima ilike hakuna lishindikanalo kwa Mungu
 
dadeki leo nimewahi seat mapemaa mkuu ijumaa kuu huwa hatuli nyama ili kutunza pesa na kujiandaa kula nyama siku ya pasaka...nyama lazima ilike hakuna lishindikalo kwa Mungu
Sasa leo umegonga mzigo au laaa unamsubiri mbuzi katoliki
 
nafuata taratibu za imani yangu leo sijagonga mzigo na kapesa kapokapo vyuma havikazagi ndani ya kristo
Isije ikawa mara ya mwisho kula nyama ilikuwa mwisho wa mwezi uliopita unajifanya leo huli nyama
 
Isije ikawa mara ya mwisho kula nyama ilikuwa mwisho wa mwezi uliopita unajifanya leo huli nyama
aaah mkuu nyama nakulaga sana yani huku kwetu robo tsh 2000 ndugu mwezi mzima nikose buku mbili kweli sasa nitakuwa na umuhimu gani kuwa duniani na kuwa mwanaume?
 
aaah mkuu nyama nakulaga sana yani huku kwetu robo tsh 2000 ndugu mwezi mzima nikose buku mbili kweli sasa nitakuwa na umuhimu gani kuwa duniani na kuwa mwanaume?
Hahaha haya bwana
 
Back
Top Bottom