nafuata taratibu za imani yangu leo sijagonga mzigo na kapesa kapokapo vyuma havikazagi ndani ya kristoSasa leo umegonga mzigo au laaa unamsubiri mbuzi katoliki
aaah mkuu nyama nakulaga sana yani huku kwetu robo tsh 2000 ndugu mwezi mzima nikose buku mbili kweli sasa nitakuwa na umuhimu gani kuwa duniani na kuwa mwanaume?Isije ikawa mara ya mwisho kula nyama ilikuwa mwisho wa mwezi uliopita unajifanya leo huli nyama