GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Sijui ni kwanini tokea mwaka 2016 hadi 2018 nimepata taabu sana kupata / kupokea ' Mialiko ' ya Sikukuu za Krismasi na Mwaka Mpya kama miaka ya huko nyuma. Na bahati nzuri ' Mialiko ' mingi nilikuwa naipata hapa hapa Jamvini kwa ' Members ' na naenda Makwao ambako nakula hadi nakunywa ila kwa sasa ni kama vile ' Wamenichunia ' Rafiki yao.
Hata hivyo siwezi Kuwalaumu kwani yawezekana kabisa kwamba kumbe hali ngumu ya Kimaisha siyo tu kwa Watu wengine kumbe hata hapa napo hali ni mbaya.
Nawasilisha.
Hata hivyo siwezi Kuwalaumu kwani yawezekana kabisa kwamba kumbe hali ngumu ya Kimaisha siyo tu kwa Watu wengine kumbe hata hapa napo hali ni mbaya.
Nawasilisha.