Nilikuwapo pale Namgongo at Wakiso District...aiseee ukisoma wasifu wa mashahidi wote wale unahisi nguvu mpya ya kumtumikia Kristo....Toka kwa St Ballikudembe had St Kizito na wengineo....ni historia yenye mafunzo makubwa kiimani .....Good museum at Anglican church there....good environment at RC venue there....Mkristo wa kweli nenda ukajifunze namna ya kuihubiri injili na kuitetea hata ukikumbwa na vikwanzo vyovyote.....Maswali ruksa......Nchini Uganda Leo ni sikukuu ya kitaifa kuwakumbuka Watakatifu Mashahidi wa Uganda(Uganda Martyrs). Hichi kilikua ni kikundi cha Wakristo-Waanglikana wapatao 23 na Wakatoliki 22 ambao mwanzoni kabla ya kuongoka walikua watumishi wa ufalme wa Buganda-Kabaka Mwanga 11.Hawa walikubali kufa kwa ajili ya kutetea kile wanachokiamini
Walitangazwa watakatifu mwaka 1964 na Papa Paul VI.
Atukuzwe Mungu Baba, Mwana na Roho Mtakatifu.