Sikukuu ya wajinga duniani

The Initiator huru

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2017
Posts
1,993
Reaction score
2,635
Leo ni sikuku ya wajinga, Dunia ina adhimisha sikuku hii ya wajinga huku ikiwa ina pambana vikali na janga la corona.

Herini ya sikukuu mapopoma wote, mautopolo wote, wajinga wote
#AprilFool
 
Sasa mbona kwenye matangazo na biashara? Muite mod aliye zamu apeleke Uzi chit chat.

Haha... Mautopolo hapo umewajumuisha mashabiki wa yanga wote "Utopolo FC.

Back in day's wakati nipo chuo niliitumie hii siku kudanganya home....miamala ikasoma ila baadaye nilikuja kumwambia mama ukweli....akanisema yakaisha.

Happy fool's Day
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…